Oga Obinna slams karen Nyamu-Karen Nyamu hakulipa ticket kwa match ya Majembe na Mbavu. Alikuja tu akaingia, na akaenda kukaa kwa meza ya 100K bila kulipa, kitu alinipea ni hug, ni kama mimi nililipa suppliers na hug. Wewe Karen nakudai hiyo 100K.


Website: https://qwelinews.co.ke
Digital journalist and content creator at Qweli News, focused on politics, governance, and current affairs in Kenya.
Leave a Reply